Leo tunatimiza miaka 61 ya Muungano wa kihistoria kati ya Tanganyika na Zanzibar – Muungano ulioasisiwa kwa hekima, busara na maono makubwa ya waasisi wetu, Mwalimu Julius K. Nyerere na Sheikh Abeid Amani Karume.
Njombe tunawatakia Watanzania wote Heri ya siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Muungano huu ni alama ya umoja, mshikamano, amani na maendeleo.
Tudumishe ushirikiano huu kwa moyo wa uzalendo, maelewano na upendo kwa taifa letu.
Tanzania ni moja, na Muungano wetu ni nguzo ya nguvu yetu.
“Jitokeze kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kwa amani na utulivu”.
Mtaa wa Lunyanywi
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 026 278 291 213
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.