Katika kuhakikisha Udumavu ndani ya Mkoa wa Njombe unatokomezwa AVOGROP wamejitokeza kuunga Mkono juhudi za serikali kupambana na Udumavu kwa kutoa matunda ya Parachichi ambayo yamegawiwa kwa wanafunzi 10000 kwa lengo la kuendelea kuhamasisha uzingatiaji wa Lishe Bora.
Zoezi la Utoaji wa Prachichi limeongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka lililofanyika katika uwanja wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe leo tarehe 15 Februari 2024.
Kwa Pamoja tunasema, “Lishe ya Mwanao ni Mafanikio yake” na “Kujaza Tumbo si Lishe jali unachomlisha.” #NjombeTunaweza
Mtaa wa Lunyanywi
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 026 278 291 213
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.