Rais John Magufuli Jumatano Agosti 1, 2018 atawaapisha viongozi mbalimbali aliowateua Jumamosi iliyopita.
Taarifa iliyotolewa jana Julai 30, 2018 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Gerson Msigwa imesema viongozi hao ni, wakuu wa mikoa wanne na makatibu wakuu wawili.
Wengine ni, naibu makatibu wakuu wawili na makatibu tawala wa mikoa 13.
“Wakuu wa mikoa yote ya Tanzania Bara mnapaswa kuhudhuria tukio hili,” imeeleza taarifa hiyo na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu
Mtaa wa Lunyanywi
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 026 278 291 213
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.