Njombe Yawasilisha Mikakati Dhidi ya Udumavu Bungeni.
Posted on: January 15th, 2025
Dodoma, 15 Januari 2025 – Sekretarieti ya Mkoa wa Njombe imewasilisha juhudi zake za kupambana na changamoto ya udumavu katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI, kilichofanyika...