• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOANI NJOMBE.

Posted on: October 2nd, 2024


Njombe, Oktoba 2024 - Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda, anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi katika mkoa wa Njombe kuanzia tarehe 3 hadi 6 Oktoba 2024. Ziara hii inalenga kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya kimaendeleo mkoani Njombe

 Mhe. Prof. Mkenda atatembelea wilaya nne zenye umuhimu mkubwa katika kuendeleza maendeleo ya kijamii na kiuchumi kupitia miradi ya mbalimbali. Ratiba ya ziara ni kama ifuatavyo:

  • Oktoba 3, 2024: Wilaya ya Ludewa
  • Oktoba 4, 2024: Wilaya ya Njombe
  • Oktoba 5, 2024: Wilaya ya Makete
  • Oktoba 6, 2024: Halmashauri ya Mji Makambako

Lengo kuu la ziara hii ni kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali  iliyopo mkoani Njombe, kuhakikisha kuwa inakidhi malengo yaliyopangwa na serikali. Mhe. Waziri pia atazindua miradi mipya na kuweka Mawe ya Msingi 

Mkoa wa Njombe unafanya juhudi kubwa katika kuimarisha sekta ya elimu na kusukuma mbele maendeleo ya teknolojia. Ziara ya Waziri Mkenda ni hatua muhimu katika kufanikisha mikakati ya serikali ya kuleta mabadiliko chanya kwenye Sekta zote ikiwa ni pamoja na elimu na maendeleo ya kiuchumi.

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • MWENGE WA UHURU 2025 WAWASILI MKOANI NJOMBE KWA SHANGWE.

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA MTAKA AWAPONGEZA NA KUWAPA HAMASA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA MKOANI NJOMBE.

    April 29, 2025
  • MWENYEKITI WA KAMATI YA TAIFA YA UONGOZI YA TASAF AMEANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI NJOMBE.

    April 28, 2025
  • HERI YA SIKU YA MUUNGANO.

    April 26, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.