Waziri wa Katiba na Sheria Nchini Tanzania Mhe. Balozi Dokta Pindi Hazara Chana amewasili Mkoani Njombe na Kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka kwaajili ya kushiriki Uzinduzi wa Kampuni ya Msaada wa Kisheria wa Dkt. Samia Suluhu Hassan unaotarajiwa kuanza rasmi kwa Mkoa wa Njombe Mei 26 hadi Juni 04, 2024 utakaozinduliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko
Mtaa wa Lunyanywi
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 026 278 291 213
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.