• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

WATUMISHI WA UMMA NJOMBE WAPATIWA MAFUNZO PEPMIS na PIPMIS

Posted on: November 20th, 2023

Watumishi  wa Umma Mkoani Njombe wamepatiwa mafunzo ya mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Taasisi( PIPMIS )na yale ya Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi kwa Watumishi wa Umma( PEPMIS)

Mafunzo hayo yameanza leo  tarehe 20,Novemba hadi 25 Novemba 2023 katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Njombe yaliyoandaliwa na Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora, yakiwahusisha  Sekretarieti ya Mkoa, Wakarungenzi,Makatibu Tawala wa Wilaya, Wakuu wa Divisheni na Vitengo wa Halmashauri na wasaidizi wao.

Akifungua mafunzo hayo Katibu Tawala Msaidizi Idara ya Mipango na Uratibu Ndg. Bruno Mwakipesile kwa  niaba ya Katibu Tawala Mkoa wa Njombe Bi. Judica Omari,amewataka Watumishi hao kuzingatia mafunzo yanayotolewa  kwani yataongeza umakini katika vituo vyao vya kazi wanapowajibika wakati wote na kuendana na mifumo ya utendaji kazi kidigitali. “Nawasihi watumishi mnaopata mafunzo haya ambayo yanafanyika nchi nzima hakikisheni mnatoa ushirikiano katika kuhakikisha tunafikia kusudio la serikali kufikia malengo yaliyowekwa” Amesisitiza Mwakipesile

Kwa Upande wake Afisa kutoka Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi na Umma Utawala bora Bi. Martha Wilimo ametoa maelekezo ya kuhakikisha usimamizi wa utendaji kazi  katika Utumishi wa Umma unazingatiwa kwa kufuata vigezo wakati wote na upimaji wa utendaji kazi kwa watumishi wa serikali uzingatiwe.

Kuanzia 2023 na kuendelea utendaji kazi utasimamiwa na mifumo ya kielektroniki ya Usimamizi wa Utendaji kazi( PEPMIS na  PIPMIS) na mfumo wa Tathmini ya rasilimali watu ili kujiridhisha kama jukumu hilio linatekelezwa ipasavyo.﮴ Katika mifumo hii itatusaidia kubaini hali ya mahitaji ya rasilimali watu,kufanya tathmini ya uhitaji wa Maafisa, wasaidizi na watumishi wanaohitajika ili kupata mahitaji sahihi ya watumishi  wanaohitajika kwani mfumo utachakacha wenyewe idadi ya mahitaji ya watumishiwanaohitajika.“

 Pia Uwepo wa mfumo huu utakwenda kusaidia upatikanaji wa rasimali watu katika maeneo ya kazi na kusaidia utoaji wa vibali vya Ajira ili kutatua changamoto ya upungufu wa watumishi katika Ofisi mbalimbali za Umma. Mfumo huu utahakikisha kabla au ifikapo Disemba 31,2023watumishi wote wawe wamejasijiliwa na kuwezehs watumishi, wakuu wa idara na vitengo kuandaa mipango ya utendaji kazi kabla au ifikapo tarehe husika na kupata taarifa ya mahitaji ya rasilimali watu.

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • MWENGE WA UHURU 2025 WAWASILI MKOANI NJOMBE KWA SHANGWE.

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA MTAKA AWAPONGEZA NA KUWAPA HAMASA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA MKOANI NJOMBE.

    April 29, 2025
  • MWENYEKITI WA KAMATI YA TAIFA YA UONGOZI YA TASAF AMEANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI NJOMBE.

    April 28, 2025
  • HERI YA SIKU YA MUUNGANO.

    April 26, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.