• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

WANANCHI HALMASHAURI YA MJI NJOMBE WAHIMIZWA KUJIUNGA NA CHF ILIYOBORESHWA

Posted on: October 28th, 2019

Wananchi katika Halmashauri nya Mji wa Njombe wametakiwa kujiunga na Bima ya Afya Iliyo  boreshwa  ili waweze kutibiwa bila kupata usumbufu wowote pindi watakapo kumbwa na magonjwa na hivyo kujihakikishia kupata huduma za Afya kwa uhakikia zaidi pindi watakapofikwa na dharura.

Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Njombe Mh. Ruth Msafiri wakati wa uzinduzi wa CHF iliyoboreshwa katika kituo cha Afya Njombe Mjini ambapo amesema kuwa kuna faida nyingi za kujiunga na CHF hiyo ikiwemo kuhudumia watu sita katika kaya.

Amesema faida nyingine ni pamoja na kutibiwa pasipokuwa na gharama yeyote mara baada ya kupata kadi ya CHF  inayogharimu Shilingi 30,000 na Hivyo kuwahamasisha wananchi kuichangamkia  CHF  iliyoboresha.

Aidha Mkuu wa Wilaya amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Njombe kupita katika Eneo lake la Kiutawala na Kuangalia ni kwa nini ombaomba wameongezeka katika Halmashauri yake ili kubaini changamoto za watu hao zitatuliwe ikiwezekana kama wanachangamoto kubwa ya kuhudumiwa basi halmashauri ichukue jukumu hilo la kuwalipia CHF iliyoboreshwa na wao kuwa sehemu ya wanufaika.

Kwa upande wake Mariam Monjesa ambaye ni Mratibu wa CHF kutoka Halmashauri ya Mji wa Njombe amesema kuwa bado kumekuwa na mwitikio mdogo wa watu kujitokeza kupata huduma hiyo.

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 MKOA WA NJOMBE December 14, 2022
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • View All

Latest News

  • MRADI WA BOOST,BARRICK KUJENGA MADARASA YA SHULE ZA MSINGI SEKONDARI

    May 08, 2023
  • UWT MKOA WA NJOMBE YAZINDUA KIWANDA CHA USINDIKAJI

    May 08, 2023
  • M- mama YAPIGA HODI MKOANI NJOMBE

    May 06, 2023
  • WIKI YA CHANJO YAZINDULIWA MKOANI NJOMBE

    May 02, 2023
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Njombe Nearby Ruhuji River

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 0262782912/13

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.