• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

WAFANYABIASHARA NJOMBE WAKUTANA NA MKUU WA MKOA

Posted on: July 26th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka amekutana na wafanyabiashara wa miamala ya kifedha Mkoani Njombe kwa lengo la kuwasikiliza na kutatua changamoto zao zilizokuwa zinawakabili ikiwa ni pamoja na hofu ya usalama waliyokuwanayo kufuatia kifo cha aliyekuwa wakala Godfrey ndambo.


Mhe. Mtaka amewasisitiza wafanyabiashara hao kufunga  Kamera za ulinzi kwenye maeneo yao ili kukomesha matukio ya wizi yanayoweza kuepukika.


ametoa agizo hilo alipokuwa akizungumza nao Leo tarehe 26 Julai 2024 katika  Ukumbi wa Halmashauri ya Mji Njombe, ambapo hapo  amewaambia wafanyabiashara hao wasikwepe ukuaji wa teknolojia hali itakayowahakikishia usalama wao na mali zao.


Hata hivyo Mtaka amewataka wakazi na wafanyabiashara wa mkoa wa Njombe kuachana na utamaduni wa kuweka fedha nyingi nyumbani badala yake wapeleke wakahifadhi fedha benki.


Mkutano huo umehudhuriwa na Viongozi mbalimbali akiwemo Katibu Tawala mkoa wa Njombe Bi. Judica Omari, Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi wakiongozwa na Katibu wa CCM Mkoa Ndugu Julius Peter  pamoja na Wafanyabiashara wa miamala ya kifedha.

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • MWENGE WA UHURU 2025 WAWASILI MKOANI NJOMBE KWA SHANGWE.

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA MTAKA AWAPONGEZA NA KUWAPA HAMASA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA MKOANI NJOMBE.

    April 29, 2025
  • MWENYEKITI WA KAMATI YA TAIFA YA UONGOZI YA TASAF AMEANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI NJOMBE.

    April 28, 2025
  • HERI YA SIKU YA MUUNGANO.

    April 26, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.