Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Mh. Prof. Sifuni Mchome akizundua kikao cha kwanza cha kamati ya uratibu wa masuala ya msaada wa kisheria katika ngazi ya mkoa wa Njombe. Kulia pichani ni Katibu Tawala wa Mkoa Bi. Katarina Revocati na kushoto kwake ni Mh. Felista Mushi Msajili wa Watoa Huduma za Msaada wa Kisheria Wizara ya Katiba na Sheria.
Njombe Nearby Ruhuji River
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 0262782912/13
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.