Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhandisi Marwa Rubirya akizindua zoezi la upataji chanjo ya Uviko 19 iliyofanyika tarehe 4 Agosti, 2021 katika hospitali ya Rufaa ya mkoa. Mkoa wa Njombe umepatiwa dozi 30,000 za chanjo aina ya Johnson Johnson katika awamu ya kwanza.
Mtaa wa Lunyanywi
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 026 278 291 213
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.