• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

UWANJA MKUBWA WA NDEGE KUJENGWA MKOANI NJOMBE

Posted on: October 28th, 2023


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Mh.Dkt Philip  Isdor Mpango, amesema serikali imepanga kujenga uwanja  mkubwa wa ndege Mkoani Njombe. Ameyasema hayo wakati akihitimisha maonyesho ya nne ya Shirika la kuhudumia viwanda vidogo( SIDO)  yanayofanyika kitaifa Mkoani Njombe.

Makamu wa Rais amesema Serikali imedhamilia kufanya ujenzi  mkubwa wa kiwanja cha ndege utakaohusisha ujenzi njia ya kurukia ndege yenye urefu wa kilometa Tatu ,Jengo kubwa la abiria na jengo maalumu kwa ajili ya kuhifadhia bidhaa zinazoharibika haraka.

Pia amesema Serikali inatambua fulsa mbalimbali zinazopatikana katika Mkoa wa Njombe  ikiwemo kilimo cha Parachichi,Viazi, Ngano na umuhimu wa usafiri na usafirishaji hivyo serikali imeamua kujenga uwanja  mkubwa  wa kisasa wa ndege Mkoani Njombe.

“Sisi Serikali tunaamini uwepo wa usafiri wa uhakika utachangia kuinua na kukuza uzaluishaji viwandani na mashambani lakini pia kuinua sekta ya utalii Mkoani Njombe”Alisema Mheshimiwa Mpango

Uwanja wa ndege utakao jengwa mkoani Njombe utakuwa na uwezo kupokea ndege kubwa za abiria Pamoja na ndege za mizigo.

Naye Mkuu wa Mkoa Mh. Antony Mtaka  amaetumia wasaha huo kuwakaribisha watanzania wote wanaohitaji kufuga ngo’mbe wa maziwa wafike katika shamba la  ngo’mbe la Kitulo lilipo  wilaya ya Makete Mkoani Njombe Kununua Mitamba hiyo.

Mtaka ameyasema hayo wakati akikabidhi zawadi ya Mkoa kwa MhMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania Dkt.Philip Isdor Mpango,aliyekuwa Mgeni rasmi kwenye kilele cha maonyesho ya viwanda vidogo SIDO yaliyofanyika kitaifa Mkoani Njombe.

‟Mheshimiwa Makamu Rais, kuna wakati wafugaji walilazimika Kwenda mpaka Afrika Kusini kununua Ngo’mbe bora kutokana na shamba letu kuyumba ,tunaamini kwa zawadi hii wewe mwenyewe utakuwa shahidi kwenye uzalishaji wa maziwa” Alisema Mh.Mtaka.

Pia Katibu Tawala Mkoa wa Njombe amekabidhi Kamba za kufungia Ngombe na Mkoa utaratibu usafirishaji wa ngo’mbe  hao hadi kufika nyumbani kwa Mh.Dkt. Mpango.

Sambamba na zawadi hiyo Halmashauri ya Mji Njombe Ikiwakilishwa na Mwenyekiti wako  Mh.Erasto Mpete amemkabidhi hati ya kiwanja,Pamoja na miche ya karanga aina ya Makademia.

Baada ya kukabidhiwa zawadi hizo Mheshimiwa Makamu wa Rais, ametoa shukrani kwa namna Mkoa wa Njombe ulivyomkarimu kipindi chote alichofanya ziara Mkoani humo,naahid kurudi tena Njombe kutembelea maeneo ambayo sijafika.

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • MWENGE WA UHURU 2025 WAWASILI MKOANI NJOMBE KWA SHANGWE.

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA MTAKA AWAPONGEZA NA KUWAPA HAMASA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA MKOANI NJOMBE.

    April 29, 2025
  • MWENYEKITI WA KAMATI YA TAIFA YA UONGOZI YA TASAF AMEANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI NJOMBE.

    April 28, 2025
  • HERI YA SIKU YA MUUNGANO.

    April 26, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.