Njombe, Tunawatakia Wakristo wote Ijumaa Kuu njema. Tukiadhimisha siku hii takatifu, tuendelee kudumisha amani, upendo, mshikamano na huruma miongoni mwetu, tukitafakari juu ya sadaka ya Kristo kwa ajili ya wokovu wa wanadamu. Mungu aendelee kutujalia rehema na baraka zake.
Mtaa wa Lunyanywi
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 026 278 291 213
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.