• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

RC CHRISTOPHER OLE SENDEKA AZINDUA CHF ILIYOBORESHWA MKOANI NJOMBE

Posted on: September 27th, 2019

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka ameagiza Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri kuhakikisha wanafikia asilimia 50 kila Halmashauri na wilaya zilizolengwa ifikapo mwaka 2020 lengo la wananchi kujiunga na mfuko wa afya ya jamii ulioboreshwa unamnufaisha mwananchi.

Ole Sendeka akizundua rasmi maboresho hayo  maboresho ya mfuko  wa afya ya jamii iliyoboreshwa (CHF) mkoani  Njombe alionyesha kutoridhishwa na kasi ya wananchi kuwa na mwamko wa kujiunga na CHF licha ya serikali kurahisisha upatikanaji wa huduma za matibabu hadi ngazi ya hospitali ya rufaa na kutoa wito kwa wananchi kujiunga na mfuko huo ambao utahudumia watu sita kwa kila kaya.

Aidha Ole Sendeka amesema Rais Dk. John Magufuli ataendelea kupongezwa na wananchi wa mkoa wa Njombe kwa hatua yake ya kuwezesha fedha zilizopelekwa kwenye sekta ya afya kiasi cha shilingi bilioni sita ambazo ni zakuongezea kusukuma ujenzi wa hospitali za wilaya pamoja na hospitali ya rufaa ya mkoa iliyopo Wikichi mkoani hapa.

Naye Rajabu Msigwa ambaye ni shekhe wa mkoa wa Njombe anasema maboresho ya mfuko wa Afya ya Jamii yamekuja wakati mwafaka kwa wananchi wa mkoa wa Njombe hasa ikizingatiwa serikali imefanikisha kujenga hospitali ya Rufaa ya mkoa.

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • MWENGE WA UHURU 2025 WAWASILI MKOANI NJOMBE KWA SHANGWE.

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA MTAKA AWAPONGEZA NA KUWAPA HAMASA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA MKOANI NJOMBE.

    April 29, 2025
  • MWENYEKITI WA KAMATI YA TAIFA YA UONGOZI YA TASAF AMEANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI NJOMBE.

    April 28, 2025
  • HERI YA SIKU YA MUUNGANO.

    April 26, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.