• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

NAIBU WAZIRI WA HABARI,UTAMADUNI SANAA NA MICHEZO MH.JULIANA SHONZA AMEUAGIZA MKOA WA NJOMBE KUJENGA KITUO CHA KUKUSANYIA TAARIFA SAHIHI ZA VIVUTIO VYA UTALII NA UTAMADUNI

Posted on: August 13th, 2019

NAIBU WAZIRI WA HABARI,UTAMADUNI SANAA NA MICHEZO MH.JULIANA SHONZA AMEUAGIZA MKOA WA NJOMBE  KUJENGA KITUO CHA KUKUSANYIA TAARIFA SAHIHI ZIHUSUZO UTALII  NA UTAMADUNI.

Serikali imeagiza kujengwa kwa kituo maalum kitakachowezesha kupatikana kwa taarifa sahihi za utalii na Utamaduni katika mkoa wa Njombe zinazohusu vivutio vya utalii wa utamaduni ikiwemo msitu wa Nyumbanitu unaopatikana kuku weusi wasiofugwa na mtu yeyote na Uwepo wa Jiwe lenye ramani ya Bara la Afrika.

Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo mh.Juliana Shonza wkati akiwa  ziara ya kutembelea msitu wa asili wa Nyumbanitu na jiwe lenye ramani ya Afrika ikiwa ni vivutio vya utalii vilivyopo katika Wilaya ya Wanging’ombe, mkoani Njombe na kusisitiza  ni vyema uongozi wa mkoa ukakuza utalii na utamaduni kupitia vivutio hivyo.

Aidha mh.shonza ameongeza kusema kuwa kwa sasa wizara yake kwa kushirikiana na wizara ya maliasili na utalii wanazitambua na kuzibainisha fursa za vivutio vipya vya utalii vilivyopo mikoa ya nyanda za juu kusini ili kutoa fursa pana kwa watalii kutembelea na kujionea majaabu ya maeneo hayo hususani msitu wa nyumbanitu.

Awali Mh.Naibu waziri akiwa ameambatana na baadhi ya viongozi wa serikali wa wilaya ya wanging’ombe na mkoa wa Njombe kabla ya kuingia ndani ya msitu huo na kupata bahati ya kuwaona kuku weusi ndani ya msitu baadhi ya wazee wanaohusika kuutunza msitu huo akiwemo mzee Elias Mkongwa ambaye ni Chifu wa Wabena amemweleza Naibu waziri shonza kuhusu historia ya msitu na baadae kupata maelezo ya jiwe lenye ramani ya Afrika lililopo katika kijiji cha Igodivaha Kata ya Imalinyi mkoani hapa kuhusu  mkakati walionao wa kutangaza vivutio hivyo..

Nae Mkuu wa wilaya ya Wanging’ombe Mkoani Njombe Komredi Ali Kasinge amesema Serikali imejipanga kuendelea kutangaza vivutio hivyo ili kukuza utalii wa ndani katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kupitia maajabu ya msitu wa Nyumbanitu na mapango yake pamoja na jiwe la ramani ya afrika.

kwa upande wao baadhi ya wazee akiwemo mzee Juma Masamaki ambao wanaoutunza msitu wa nyumbanitu na jiwe lenye ramani ya bara la afrika wamemwomba mh.Naibu waziri kuhakikisha miundombinu ya barabara na huduma nyinginezo za kibinadamu zinapatikana katika eneo hilo lenye vivutio hivyo vya utalii ili kujenga hamasa kwa watu mbalimbali kuweza kufika na kujionea maajabu mbalimbali.

mwisho.



Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • MWENGE WA UHURU 2025 WAWASILI MKOANI NJOMBE KWA SHANGWE.

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA MTAKA AWAPONGEZA NA KUWAPA HAMASA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA MKOANI NJOMBE.

    April 29, 2025
  • MWENYEKITI WA KAMATI YA TAIFA YA UONGOZI YA TASAF AMEANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI NJOMBE.

    April 28, 2025
  • HERI YA SIKU YA MUUNGANO.

    April 26, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.