Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe, Katarina Revocati akipokea funguo za gari aina ya Toyota Hilux kutoka kwa Moses Kway ambaye ni Afisa Program wa Shirika la Jhpiego baada ya shirika hilo kufika ofisini kwa mkuu wa mkoa wa Njombe kuaga baada ya mradi iliokuwa ikiufanya wa kutoa huduma za afya kumalizika na kisha kuamua kutoa msaada wa gari hilo kwa lengo la kuendeleza kutoa huduma za afya mkoani Njombe.
Njombe Nearby Ruhuji River
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 0262782912/13
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.