• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

Mkuu wa Mkoa wa Njombe MHE.Christopher Ole Sendeka amkabidhi kwa TAKUKURU na Jeshi la Polisi,Kaimu mhandisi wa maji Halmashauri ya wilaya ya Makete Daniel Sanga kwa tuhuma za kughushi nyaraka za zabuni.

Posted on: July 15th, 2019

MKUU WA MKOA WA NJOMBE,MH.CHRISTOPHER OLE SENDEKA AMEAMURU KAIMU MHANDISI WA MAJI WILAYA YA MAKETE MKOANI NJOMBE,DANIEL SANGA KUSHIKILIWA NA TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA NA JESHI LA POLISI MKOANI NJOMBE, KWA HATUA ZA KISHERIA,MARA BAADA YA KUTUHUMIWA KUTENDA KOSA LA KUGHUSHI NYARAKA ZA HALMASHAURI HIYO KWA LENGO LA KUTOA UPENDELEO KWA  MMOJA WA WAOMBAJI WA ZABUNI YA KUJENGA MRADI WA MAJI WILAYANI HUMO.

MH.SENDEKA LICHA YA KUCHUKUA HATUA HIYO PIA AMEIONYA KAMATI YA FEDHA NA MIPANGO YA HALMASHAURI HIYO,KWAMBA HAITABAKI SALAMA KUTOKANA NA KUSHINDWA KUZINGATIA NA KUSIMAMIA SHERIA ZA MANUNUZI NA KULAZIMIKA OFISI YA MDHIBITI NA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI(CAG),KUIBUA HOJA ZILIZOPELEKEA HARUFU YA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA NA KUISABABISHIA HASARA HALMASHAURI HIYO.

AIDHA KATIKA KIKAO HICHO  CHA BARAZA MAALUM LA MADIWANI LA KUPITIA HOJA ZA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI (CAG) KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE KIMEFANYIKA WAKATI HALMASHAURI HIYO IKIWA IMEPATA HATI YENYE MASHAKA,JAMBO AMBALO MKUU WA WILAYA HIYO VERONIKA KESSY AMELAZIMIKA KUANISHA MOJA YA SABABU ZILIZOPELEKEA KUPATA HATI HIYO NI KUTOKANA ANA KUTOKUWEPO KWA USHIRIKIANO KATIKA BAADHI YA IDARA MBALIMBALI NA KWAMBA WATUMISHI WA UMMA WATAKAOBAINIKA KUFANYA NDIVYO SIVYO KWENYE FEDHA ZA UMMA HATUA KALI ZITACHUKULIWA…

TAARIFA ZA AWALI ZINAONYESHA KUWA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE IMEPATA HATI YA MASHAKA KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018 HII NI KUTOKANA NA WATUMISHI WA IDAYA YA FEDHA NA MANUNUZI KUKIUKA TARATIBU ZA MANUNUZI NA FEDHA JAMBO AMBALO BAADHI YA WATUMISHI HAO AKIWEMO DANIEL SANGA AMBAE NI KAIMU MHANDISI WA MAJI ANAETUHUMIWA KWA KUGHUSHI NYARAKA AKALAZIMIKA KUTOA  UTETEZI MBELE YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE MH.CHRISTOPHER OLE SENDEKA,KWA KUSEMA KUWA BODI YA TATHIMINI YA ZABUNI YA HALMASHAURI HIYO ILIRIDHIA MCHAKATO WA MANUNUZI NA UTEUZI WA MKANDARASI WA KUJENGA MRADI WA MAJI,JAMBO AMBALO SIYO KWELI.

KATIKA KIKAO HICHO MARA KADHAA KILILAZIMIKA KUSIMAMA KWA MASAA  KADHAA HII NI KUTOKANA NA KILE KILICHODAIWA BAADHI YA WATUMISHI KUTOWASILISHA NYARAKA MUHIMU ZA TAARIFA ZA IDARA ZAO JAMBO AMBALO KATIBU TAWALA WA MKOA WA NJOMBE,CHARLES KICHERE ALILAZIMIKA MARA KADHAA KUTOA MAELEZO YA KUHOJI JUU YA USAHIHI NA UMAKINI WA TAARIFA ZA WATAALAMU HAO,

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • MWENGE WA UHURU 2025 WAWASILI MKOANI NJOMBE KWA SHANGWE.

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA MTAKA AWAPONGEZA NA KUWAPA HAMASA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA MKOANI NJOMBE.

    April 29, 2025
  • MWENYEKITI WA KAMATI YA TAIFA YA UONGOZI YA TASAF AMEANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI NJOMBE.

    April 28, 2025
  • HERI YA SIKU YA MUUNGANO.

    April 26, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.