• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

MKUU WA MKOA WA NJOMBE MHE. ANTHONY MTAKA ANATARAJIA KUPOKEA VIONGOZI MBALIMBALI LEO SEPTEMBA. 26, 2022

Posted on: September 26th, 2022

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe Balozi Dkt. Pindi Chana alizindua rasmi mabango yanayotangaza vivutio vya Utalii vilivyopo katika maeneo ya hifadhi za Taifa, Mapori ya Akiba na  Makumbusho ya Taifa.

Mabango hayo yanayohusisha Mamlaka ya Wanyamapori Tanzania (TAWA), Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Makumbusho ya Taifa - Msitu wa Asili wa Nyumbanitu yamewekwa maeneo ya mzunguko wa barabara kuu mkoani Njombe ili kutoa taarifa za vivutio mbalimbali vya Utalii kwa lengo la kuendeleza juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan za kutangaza Utalii hususani mikoa ya Kusini mwa Tanzania.

Leo Septemba 26, 2022 Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka anapokea viongozi mbalimbali akiwemo Mhe. Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana pamoja na viongozi mbalimbali wakiwemo Mabarozi wa nchi mbalimbali, Waheshimiwa Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi, Waheshimiwa Madiwani na Wananchi wote wa Mkoa wa Njombe na wa Mikoa yote ya Kusini mwa Tanzania.

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • MWENGE WA UHURU 2025 WAWASILI MKOANI NJOMBE KWA SHANGWE.

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA MTAKA AWAPONGEZA NA KUWAPA HAMASA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA MKOANI NJOMBE.

    April 29, 2025
  • MWENYEKITI WA KAMATI YA TAIFA YA UONGOZI YA TASAF AMEANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI NJOMBE.

    April 28, 2025
  • HERI YA SIKU YA MUUNGANO.

    April 26, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.