• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

MKUU WA MKOA WA NJOMBE MHE. ANTHONY MTAKA AMETUMA SALAMU ZA SHUKRANI KWA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA KUTOA MBEGU YA NGANO KWA WANANCHI WA WILAYA YA MAKETE NA LUDEWA

Posted on: January 11th, 2024

MAKETE

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka tarehe 11 Januari 2024 aliongoza Mkutano wa Pareto na Mdau Mkuu wa PCT uliofanyika katika Ukumbi wa Madihani Villa Hotel ulipo Halmashauri ya Wilaya ya Makete.

Mkutano huo ulihudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Wilaya ya hiyo, Wakurugenzi wa Halmashauri na Maafisa Kilimo kutoka Halmashauri zote za Mkoa wa Njombe pamoja na Wananchi wa maeneo hayo wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda.

Alipokuwa akizungumza na wananchi waliojitokeza kwenye mkutano huo Mhe. Mtaka alisema kuwa, Wilaya ya Makete inakwenda kukua kiuchumi kutokana na uwekezaji mkubwa unaofanywa haswa kwenye maeneo ya Kilimo cha Pareto pamoja na Kilimo cha Ngano.

Aidha, Mhe. Mtaka alisema kuwa, katika Halmashauri ya Wilaya ya Makete yenye kata 23, jumla ya kata 21 zinafaa kwa Kilimo cha zao la Pareto ambapo jumla ya eneo lenye ukubwa wa Hekta 2800 zinafaa kwa Kilimo cha zao la Pareto katika kata 21.

Ikumbukwe kwamba zao la Pareto hapa nchini Tanzania linaumuhimu mkubwa kwa matumizi mbalimbali ikiwa ni pamoja na utengenezaji wa madawa mbalimbali ya kuua wadudu ambapo makampuni ya madawa duniani hutumia sumu ya Pareto katika kutengeneza madawa (Viuadudu), Unga wa maua ya Pareto hutumika kuhifadhi nafaka kama vile mahindi, Maharage ili yasishambuliwe na wadudu waharibifu.

Sambamba na hayo Mhe. Mtaka alimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuutazama na kuukuza kiuchumi Mkoa wa Njombe kwenye sekta mbalimbali ikiwa ni pamoja na sekta ya kilimo ambapo amesema, Wilaya ya Makete ina jumla ya Maafisa Ugani Kilimo 59, ambapo kati ya hao watatu (3) wapo ngazi ya Makao Makuu ya Wilaya hiyo na Maafisa Ugani 56 wapo ngazi ya Kijiji na Kata na wote hao wamepatiwa Pikipiki kwaajili ya Utendaji kazi wa kuwahudumia wakulima.

Uwepo wa Maafisa Ugani ngazi hizo unasaidia kutoa ushauri wa Kitaalam kwa wakulima ngazi ya Jamii, Watendaji wa Kata na Vijiji wanasaidia katika uhamasishaji wa Kilimo cha Pareto na Kuwezesha tija na uzalishaji kuongezeka.

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • MWENGE WA UHURU 2025 WAWASILI MKOANI NJOMBE KWA SHANGWE.

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA MTAKA AWAPONGEZA NA KUWAPA HAMASA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA MKOANI NJOMBE.

    April 29, 2025
  • MWENYEKITI WA KAMATI YA TAIFA YA UONGOZI YA TASAF AMEANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI NJOMBE.

    April 28, 2025
  • HERI YA SIKU YA MUUNGANO.

    April 26, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.