• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

Mhe. Kissa Gwakisa Aongoza Kikao cha BBT Kilichohudhuriwa na Vijana na Wanawake wa Wilaya ya Njombe

Posted on: September 25th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Mhe. Kissa Gwakisa,tarehe 25 Septemba 2024 ameongoza kikao cha BBT kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji  Njombe. Kikao hicho kimehudhuriwa na kundi kubwa la vijana na wanawake kutoka maeneo mbalimbali ya wilaya ya Njombe, kwa lengo la kujadili mikakati ya maendeleo na fursa za kiuchumi haswa kwenye sekta ya Kilimo.

Akizungumza katika kikao hicho, Mhe. Gwakisa alisisitiza umuhimu wa vijana na wanawake kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya wilaya na taifa kwa ujumla. Alieleza kuwa kundi hili lina nafasi kubwa katika kufanikisha mipango ya maendeleo na kuleta mabadiliko chanya katika jamii.

"Vijana ni nguzo muhimu katika kujenga taifa. Ninawaomba mjitokeze na kuchangamkia fursa zilizopo, zikiwemo za  kilimo, Pia wanawake, nafasi yenu ni kubwa katika kuleta mabadiliko, siyo tu ndani ya familia bali pia katika jamii nzima," alisema Mhe. Gwakisa.

Aidha, Mhe. Gwakisa alitumia fursa hiyo kutoa rai kwa vijana kuwa wavumilivu, wabunifu, na kuchukua hatua za makusudi katika kujenga maisha bora. Aliwasihi vijana kuacha tabia ya kukata tamaa na badala yake wawe na mtazamo chanya kuhusu mustakabali wa maisha yao.

"Pambaneni kwa bidii na msiruhusu changamoto kuwa vikwazo. Dunia inabadilika kwa kasi, na ni muhimu sana kutumia teknolojia na ubunifu katika kutatua matatizo ya kila siku. Serikali ipo pamoja nanyi katika kuhakikisha mnapata mazingira bora ya kufanikisha ndoto zenu," aliongeza.

Mhe. Gwakisa aliwahakikishia vijana na wanawake kuwa serikali ya wilaya itaendelea kuwaunga mkono na kuwekeza katika miradi itakayosaidia kuinua hali zao za kiuchumi.

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • MWENGE WA UHURU 2025 WAWASILI MKOANI NJOMBE KWA SHANGWE.

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA MTAKA AWAPONGEZA NA KUWAPA HAMASA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA MKOANI NJOMBE.

    April 29, 2025
  • MWENYEKITI WA KAMATI YA TAIFA YA UONGOZI YA TASAF AMEANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI NJOMBE.

    April 28, 2025
  • HERI YA SIKU YA MUUNGANO.

    April 26, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.