• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

MHE. ANTHONY MTAKA AWAOMBA WANANCHI KUWAHESHIMU WAHUDUMU WA AFYA.

Posted on: October 7th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka, ameishukuru Serikali kwa kuendelea kutoa fedha za kutekeleza miradi mbalimbali katika Mkoa wa Njombe. Akizungumza Jana Oktoba 06,2024  katika mkutano wa kuhitimisha ziara ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, uliofanyika katika Halmashauri ya Mji wa Makambako, Mhe. Mtaka alisisitiza umuhimu wa miradi hiyo katika kuboresha maisha ya wananchi na kuimarisha maendeleo ya kiuchumi katika eneo hilo.

Katika mkutano huo, Mhe. Mtaka alitumia nafasi hiyo kuwashauri wananchi kuwaheshimu wahudumu wa huduma za afya, akieleza kwamba wao ni watu muhimu katika maisha yetu. "Wahudumu wa afya wanatoa huduma za msingi ambazo ni muhimu kwa ustawi wa jamii zetu," alisema Mhe. Mtaka. Kauli hii inakuja mara baada ya baadhi ya watu kufika kwa muhudumu wa afya kuwajibu vibaya wahudumu hao na kuwarekodi, kisha hutoa taarifa hizo kwenye mitandao ya kijamii.

Mhe. Mtaka alitoa rai kwa wananchi kuwaheshimu wahudumu wa afya kwani ni watu wanaosaidia kuhakikisha tunabaki salama wakati wa mahitaji yetu ya kiafya. "Ni jukumu la kila mmoja kuwapa heshima na ushirikiano wahudumu hao ili waweze kufanya kazi zao kwa ufanisi," alisisitiza.

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • MWENGE WA UHURU 2025 WAWASILI MKOANI NJOMBE KWA SHANGWE.

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA MTAKA AWAPONGEZA NA KUWAPA HAMASA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA MKOANI NJOMBE.

    April 29, 2025
  • MWENYEKITI WA KAMATI YA TAIFA YA UONGOZI YA TASAF AMEANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI NJOMBE.

    April 28, 2025
  • HERI YA SIKU YA MUUNGANO.

    April 26, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.