• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

MGANGA MKUU WA MKOA WA NJOMBE AHIMIZA WAZAZI KUZINGATIA LISHE BORA KWA WATOTO

Posted on: November 4th, 2019

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Dk. Bumi Mwamasage ameshiriki maadhimisho ya utekelezaji wa siku ya Afya na Lishe ya Mtoto katika kijiji cha Liduhani, Kata ya Iwawa wilayani Makete mkoa wa Njombe na kutoa wito kwa wazazi kutilia mkazo mambo ya lishe bora kwa mtoto.

Maadhimisho hayo yamefinyika tarehe 4 Novemba, 2019 kwenye kijiji cha Liduhani wilayani Makete, ambapo Dk. Bumi alikuwa mgeni rasmi na kushuhudia shughuli za upimaji afya za watoto, sambamba na mafunzo ya lishe bora na namna ya kujifunza kuandaa chakula kinachoendana na makundi matano ya aina ya virutubisho kwa ajili ya afya ya mtoto.

Katika sherehe hiyo pia kulikuwa na majadiliano mbalimbali kwa washiriki juu ya tatizo la kukabiliana na utapiamlo na udumavu katika wilaya ya Makete, ambapo asilimia 44 ya watoto waliopo chini ya miaka mitano  kwenye kijiji cha Ludihani, wamebainika wana matatizo ya udumavu.

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 MKOA WA NJOMBE December 14, 2022
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • View All

Latest News

  • MRADI WA BOOST,BARRICK KUJENGA MADARASA YA SHULE ZA MSINGI SEKONDARI

    May 08, 2023
  • UWT MKOA WA NJOMBE YAZINDUA KIWANDA CHA USINDIKAJI

    May 08, 2023
  • M- mama YAPIGA HODI MKOANI NJOMBE

    May 06, 2023
  • WIKI YA CHANJO YAZINDULIWA MKOANI NJOMBE

    May 02, 2023
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Njombe Nearby Ruhuji River

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 0262782912/13

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.