• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

MAZISHI YA BABA MZAZI WA MHE. DKT. FESTO DUGANGE YAFANYIKA WANGING'OMBE.

Posted on: October 15th, 2024

Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais - TAMISEMI (Elimu), Mhe. Zainab Katimba, amefika mkoani Njombe leo tarehe 15 Oktoba 2024, kushiriki mazishi ya baba mzazi wa Naibu Waziri wa OR-TAMISEMI (Afya), Mhe. Dkt. Festo Dugange. Mhe. Katimba amehudhuria mazishi haya kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa.

Mazishi hayo yamefanyika katika kijiji cha Wanging’ombe na yamehudhuriwa na viongozi mbalimbali, akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka, pamoja na Manaibu Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa, akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Daniel Chongolo, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamulena, na Mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe, Mhe. Zakaria Saili Mwansasu. Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Njombe, wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa huo, Mhe. Deo Sanga, pia wameshiriki mazishi hayo, wakitoa pole na kuungana na familia katika kipindi hiki cha majonzi.

Katika hotuba yake ya faraja, Mhe. Zainab Katimba alisema, "Tunatambua ukubwa wa pigo hili kwa familia ya Mhe. Dkt. Festo Dugange na wote walioguswa, lakini tunaamini kuwa Mwenyezi Mungu atawapa nguvu, faraja, na moyo wa uvumilivu. Hakika tupo pamoja nanyi katika kipindi hiki kigumu, na tunawapa pole nyingi kwa msiba huu mkubwa."

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka, naye alitoa salamu za pole kwa Mhe. Dkt. Dugange na familia yake, akisema, "Kwa niaba ya Serikali ya Mkoa wa Njombe, tunatoa salamu za pole kwa familia ya Mhe. Dkt. Festo Dugange kwa msiba huu mzito. Tunamuombea Mwenyezi Mungu awape amani na nguvu katika kipindi hiki cha majonzi, na kumuweka marehemu mahali pema peponi."

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • MWENGE WA UHURU 2025 WAWASILI MKOANI NJOMBE KWA SHANGWE.

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA MTAKA AWAPONGEZA NA KUWAPA HAMASA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA MKOANI NJOMBE.

    April 29, 2025
  • MWENYEKITI WA KAMATI YA TAIFA YA UONGOZI YA TASAF AMEANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI NJOMBE.

    April 28, 2025
  • HERI YA SIKU YA MUUNGANO.

    April 26, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.