Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Mh. Ruth Msafiri (wa pili kushoto waliokaa) akiwa pamoja na Mh. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. Dk. Angela Mabula na Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe, Katarina Revocati (kulia kwa Naibu Waziri) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi walioshiriki uzinduzi wa ofisi ya ardhi ya mkoa.
Njombe Nearby Ruhuji River
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 0262782912/13
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.