Mmoja wa Walimu wa Shule ya Msingi Nindi wilayani Ludewa akifafanua masuala ya taaluma katika shule hiyo wakati alipokutana na Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mheshimiwa Christopher Ole Sendeka katika ziara za ukaguzi wa miradi ya Tasaf mkoa wa Njombe. Shule ya Msingi Nindi imefaidika kwa kujengewa madarasa matano kupitia mradi huo.
Njombe Nearby Ruhuji River
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 0262782912/13
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.