Madaktari Bingwa na Bobezi wa Magonjwa ya Binadamu wa Mhe.Rais wa Dkt. Samia Suluhu Hassan Aprili 6 ,2024 wameendelea na utoaji wa huduma za kitabibu katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji Njombe (Kibena).
Akizungumza Dkt. Elestina Mwipopo Daktari wa Watoto ambaye ni Mkuu wa Msafara wa Madaktari Bingwa na Bobezi waliopo Halmashauri ya mji Njombe katika Hospitali ya Kibena amesema kuwa tayari huduma zimeanza kutolewa kwa Watoto, Kinamama Pamoja na kuwaona wagojwa ambao wametoka maeneo mablimbali ya Halmashauri ya mji njombe.
Aidha Daktari Mwipopo amewaombwa wananchi waendelea kujitokeza kwa wingi kuweza kupata hudumu za kibingwa iliwaweze kupata nafuu na kupunguza gharama za matumizi makubwa ya fedha za kwenda maeneo mengine.
Mtaa wa Lunyanywi
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 026 278 291 213
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.