Leo tarehe 7 Aprili, tunakumbuka kifo cha Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa kwanza wa Zanzibar na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyeuawa mwaka 1972.
Karume alikuwa shujaa wa Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 na mmoja wa waanzilishi wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliounda Tanzania. Alipigania haki, usawa, na maendeleo ya wananchi wa Zanzibar na Watanzania kwa ujumla.
Uongozi wake umeacha alama kubwa katika historia ya nchi yetu. Tunamkumbuka kwa heshima na shukrani.
Pumzika kwa amani Mzee wa Mapinduzi.
Mtaa wa Lunyanywi
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 026 278 291 213
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.