• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

KILIMO CHA NGANO KUWA MKOMBOZI KWA WAKULIMA WA MAKETE

Posted on: June 15th, 2023

Halmashauri ya Wilaya ya Makete kwa kushirikiana na Tume ya Taifa ya Mipago ya Matumizi ya Ardhi imezindua Mkakati wa kupanga, kupima Ardhi na kutoa  Hatimiliki za Kimila kwa wakulima wa Ngano.

Mpango huo umezinduliwa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka Wilayani Makete ambapo amesema jitihada za Serikali ni kuhakikisha mkulima wa Ngano anapata manufaa kupitia zao hilo.

Mhe. Mtaka amesema Serikali kupitia Wizara ya Kilimo iligawa mbegu bora kwa wakulima Wilaya ya Makete taani 80 mnamo mwezi Februali 2023, ambazo wakulima wamepanda na wanatarajia kupata matokeo siku chache zijazo.

Vilevile ameongeza kwa kuwapongeza wadau wa Kilimo nchini wakiwemo TARI Uyole na TARI Mlingano, ASA, SUA, CPB, CRDB, NMB, Wakala wa mbegu nchini kwa kuwasaidia wakulima wa Makete ambao wanatarajia kuona matunda ya Kilimo miezi michache ijayo.

Mkurugenzi Mtendaji H/w ya Makete William Makufwe akiwa kwenye Hafla hiyo alisema kwa mwaka wa fedha 2023/2024 Halmashauri imetenga fedha Zaidi ya Milioni 400 kwa ajili ya kuwakopesha wakulima Wilayani Makete.

Pia amesema Halmashauri kwa kushirikiana na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo imeanzisha na kusimamia mashamba ya majaribio ya Ngano katika kata ya Matamba na Kigala

Huku akibainisha kuwa Halmashauri kwa kushirikiana na Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi itafanya mpango wa Matumizi bora ya Ardhi katika Vijiji 44 katika Kata ya Kipagalo, Luwumbu, Bulongwa, Ikuwo, Iniho, Kigala, Ipelele, Matamba na Itundu.

Makufwe amesema Halamshauri imepanga kuongeza Idadi ya wakulima wa zao la ngano kutoka 19,796 waliopo sasa hadi kufikia 40,250 mwaka 2026, huku mapato yatokanayo na ushuru wa ngano yakiongezeka kutoka Milioni 1 hadi Milioni 690 ifikapo 2026.

Diwani wa Kata ya Tandala Mhe. Daniel Hatanaka kwa niaba ya Madiwani ameipongeza Serikali kwa kutoa bure mbegu za ngano kwa wakulima huku akiziomba taasisi mbalimbali za kifedha kuwakopesha wakulima ili waweze kupata pembejeo za kisasa na kuongeza uzalishaji wa Mazao kibiashara.

Kwa upande wake Afisa Tarafa ya Lupalilo Augustino Ngailo alimshukuru Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri  ya Makete na wataalamu kwa kuwa na mawazo mapana ya kuwasaidia wananchi kupitia zao la Ngano.

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • MWENGE WA UHURU 2025 WAWASILI MKOANI NJOMBE KWA SHANGWE.

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA MTAKA AWAPONGEZA NA KUWAPA HAMASA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA MKOANI NJOMBE.

    April 29, 2025
  • MWENYEKITI WA KAMATI YA TAIFA YA UONGOZI YA TASAF AMEANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI NJOMBE.

    April 28, 2025
  • HERI YA SIKU YA MUUNGANO.

    April 26, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.