• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

Katibu Tawala wa Mkoa Aongoza Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Njombe.

Posted on: January 25th, 2025

Njombe – Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe, Bi. Judica Omary, ameongoza zoezi la uzinduzi wa Wiki ya Sheria kwa mwaka 2025, lililofanyika Januari 25, 2025, katika viwanja vya stendi ya zamani ya mabasi mjini Njombe.

Uzinduzi huo umetanguliwa na matembezi ya hiari yaliyowashirikisha wananchi, wadau wa sheria, wanafunzi, pamoja na viongozi wa serikali kutoka ngazi mbalimbali. Matembezi hayo yamelenga kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa utawala wa sheria na upatikanaji wa haki kwa wote.

Akizungumza katika uzinduzi huo, Bi. Judica Omary amesisitiza umuhimu wa wananchi kushiriki kikamilifu katika masuala ya kisheria ili kufahamu haki na wajibu wao. Aidha, amewapongeza wadau wa sekta ya sheria kwa juhudi zao katika kuhakikisha huduma za kisheria zinawafikia wananchi kwa urahisi.

"Wiki ya Sheria ni fursa muhimu kwa wananchi kupata elimu ya kisheria, kujua haki zao na namna ya kuzitetea. Natoa wito kwa wananchi wote wa Mkoa wa Njombe kutumia fursa hii ili kufahamu masuala mbalimbali yahusuyo sheria," alisema Bi. Omary.

Katika uzinduzi huo, wananchi walipata nafasi ya kupata msaada wa kisheria kutoka kwa wanasheria na mawakili waliokuwepo, huku wataalamu wa sheria wakitoa elimu kuhusu umuhimu wa utatuzi wa migogoro kwa njia ya sheria na matumizi ya mabaraza ya usuluhishi.

Wiki ya Sheria ni maadhimisho ya kila mwaka yanayoandaliwa na Mahakama ya Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya sheria, ikiwa na lengo la kuelimisha umma kuhusu haki zao na kuwahamasisha kushiriki katika mifumo ya utoaji wa haki. Maadhimisho haya yataendelea kwa shughuli mbalimbali zikiwemo semina, mijadala na utoaji wa msaada wa kisheria kwa wananchi.

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • MWENGE WA UHURU 2025 WAWASILI MKOANI NJOMBE KWA SHANGWE.

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA MTAKA AWAPONGEZA NA KUWAPA HAMASA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA MKOANI NJOMBE.

    April 29, 2025
  • MWENYEKITI WA KAMATI YA TAIFA YA UONGOZI YA TASAF AMEANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI NJOMBE.

    April 28, 2025
  • HERI YA SIKU YA MUUNGANO.

    April 26, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.