• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

KATIBU TAWALA MKOA AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA TAASISI ZA UMMA

Posted on: November 13th, 2023

KATIBU Tawala Mkoa wa Njombe Bi. Judica Omari amewataka watumishi wa taasisi za serikali kufanya kazi kwa bidii pamoja na kujitathimini katika utendaji wao.

Katibu tawala ametoa wito huo wakati akizungumza na watumishi wa taasisi mbalimbali za serikali  ikiwemo NSSF,PSSF,NIC,NHIF na LATRA katika kikao chenye dhumuni  la kufahamiana na kujua namna  ya kushirikiana kiutendaji katika ukumbi wa NSSF House mjini hapa.

Judica amewataka watumishi hao kutoa taarifa pindi kunapotokea changamoto ili ziweze kutatuliwa.

Pia amewapongeza watumishi kwa kuendelea kufanya kazi muda wa ziada na hivyo kutoa fursa kwa wananchi kuhudumia muda mwingi.

Awali akisoma taarifa mbele ya katibu tawala,meneja wa NSSF Ndugu Juma Mwita amesema kwa kipindi cha mwaka 2022-2023 wamefanikiwa kuandikisha waajiri 42 sawa na wastani wa asilimia 50% ya huku malengo yakiwani  kuandikisha  waajiri 84 kwa mwaka.

Amesema  katika sekta rasmi wamefanikiwa kusajiri wanachama 2,770 sawa na wastani wa asilimia 95.7% ya lengo la kuandikishwa wanachama 2,892 kwa mwaka,wakati kwa kipindi cha July,2022-2023 jumla yawanachama 1,314 waliandikishwa ambapo ni sawa na wastani wa asilimia 96.05% yalengo la kuandikisha wanachama 1,368.

 

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • MWENGE WA UHURU 2025 WAWASILI MKOANI NJOMBE KWA SHANGWE.

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA MTAKA AWAPONGEZA NA KUWAPA HAMASA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA MKOANI NJOMBE.

    April 29, 2025
  • MWENYEKITI WA KAMATI YA TAIFA YA UONGOZI YA TASAF AMEANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI NJOMBE.

    April 28, 2025
  • HERI YA SIKU YA MUUNGANO.

    April 26, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.