• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

HATUA ZA AWALI UJENZI WA UWANJA WA NDEGE NJOMBE ZAANZA.

Posted on: February 6th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka leo tarehe 06 Februari 2024 ametembelewa ofisini kwake na Timu ya Wataalamu kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) waliokuja kwa lengo la kutoa taarifa ya kukabithi eneo la mradi  wa Upembuzi Yakinifu na Usanifu wa Kina.

Kiwanja cha Ndege Mkoa wa Njombe kinakwenda kujengwa kwa hadhi ya Kiwanja cha Ndege cha Kikanda (Daraja 4E) na  Mtaalamu Muelekezi (Consultant) kutoka Kampuni ya Intercontinental Consultants and Technocrats Pvt.Ltd ya nchini India.

Mradi huu ni wa miezi 10 unatarajiwa kukamilika mnamo mwezi Oktoba,2024 na kisha taratibu za manunuzi ya kandarasi ya ujenzi itaanza.

Mawanda ya mradi yatahusisha ujenzi wa Barabara ya kutua na kuruka ndege, Barabara ya kiungio na maegesho ya Ndege kwa kiwango cha Lami; Ufungaji wa taa za kuongozea ndege (AGL); Jengo la mizigo likiwa na mitambo ya kuhifadhia ubaridi; Jengo la kuongozea ndege; Jengo la abiria; Kituo cha zimamoto na vifaa vyake pamoja na ujenzi wa miundombinu wezeshi kama uzio wa usalama.

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • MWENGE WA UHURU 2025 WAWASILI MKOANI NJOMBE KWA SHANGWE.

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA MTAKA AWAPONGEZA NA KUWAPA HAMASA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA MKOANI NJOMBE.

    April 29, 2025
  • MWENYEKITI WA KAMATI YA TAIFA YA UONGOZI YA TASAF AMEANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI NJOMBE.

    April 28, 2025
  • HERI YA SIKU YA MUUNGANO.

    April 26, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.