Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka, akiwa katika picha na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe Bi. Judica Omari pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Njombe Mhe. Kissa Gwakisa leo Novemba 26, 2024, katika viwanja vya Soko Kuu mjini Njombe, mara baada ya kumaliza mkutano wa wananchi ambao ulilenga kuwahamasisha kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa kesho tarehe 27 Novemba 2024
Mtaa wa Lunyanywi
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 026 278 291 213
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.