• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

BARAZA LA MADIWANI LUDEWA

Posted on: February 3rd, 2024

MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI WA ROBO YA PILI YA MWAKA 2023/2024 WAFANYIKA LEO LUDEWA.

Na. Chrispin Kalinga - Njombe

Tarehe 03 Januari  2024 Madiwani wa Kata zote 26 za Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa wamefanya Mkutano wa Baraza la Waheshimiwa Madiwani  wa Robo ya pili  ya Mwaka 2023/2024 wa Kipindi cha kuanzia Oktoba hadi Disembai 2024 kwa Tarehe 03 Januari, 2024 uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa  Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa ukiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa, Mhe. Wise Mgina.

Aidha Mkutano huo umehudhuliwa na Viongozi mbalimbali akiwemo Mwakilishi wa Ktibu Tawala wa Mkoa wa Njombe Bw. Reagan Mrosso, Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe. Victoria Mwanziva, Kamati ya Usalama ya Wilaya, Viongozi wa Chama cha Mapinduzi, Wakuu wa Divisheni na Vitengo pamoja na Wnanchi wa Wilaya ya Ludewa.

katika Mkutano huo zimewasilishwa taarifa mbalimbali ikiwa ni pamoja na Taarifa ya Kamati ya Kudhibiti Ukimwi, Taarifa ya Kamati ya huduma za Elimu, Afya na Maji, Taarifa ya Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango, Taarifa ya Kamati ya huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira pamoja na Taarifa ya mradi wa kuboresha usalama wa Milki ya Ardhi.

Aidha, wakati akitoa salamu za serikali Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe. Victoria Mwanziva, amewaomba watum,ishi wote wa wailaya ya Ludewa kuendelea kufanya kazi kwa bidii na kuwasihi kuwa na ushirikiano katika uwajibikaji wao.

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • MWENGE WA UHURU 2025 WAWASILI MKOANI NJOMBE KWA SHANGWE.

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA MTAKA AWAPONGEZA NA KUWAPA HAMASA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA MKOANI NJOMBE.

    April 29, 2025
  • MWENYEKITI WA KAMATI YA TAIFA YA UONGOZI YA TASAF AMEANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI NJOMBE.

    April 28, 2025
  • HERI YA SIKU YA MUUNGANO.

    April 26, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.