• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

Ufugaji

 SEKTA YA MIFUGO:

Idadi ya Mifugo imeongezeka katika kipindi cha mwaka 2005 hadi 2014 kama ifuatavyo:-

               Jedwali Na. 1: Idadi ya Mifugo

AINA YA MIFUGO
IDADI  YA MIFUGOMWAKA 2005
IDADI YA MIFUGO MWAKA 2014
ASILIMIA YA ONGEZEKO
Ng’ombe wa asili
146,491
179,714
23
Ng’ombe wa maziwa
4,806
13,620
183
Mbuzi
44,464
111,554
151
Kondoo
34,613
38,657
12
Kuku
978,564
1,016,344
4
Nguruwe
10,863
92,559
752
Punda
1,435
3,429
139
Sungura
6,543
18,212
178
Kanga
654
2,243
243
Bata
1,002
6,744
573
Mbwa
12,987
22,221
71
Simbilisi
2,827
8,842
213
Kanga
1,666
2,304
38


Jedwali Na.2: Miundombinu ya Mifugo iliyokarabatiwa na kujengwa:

Na.
MIUNDOMBINU

2005

2014

 

 
 
Inayofanya kazi
Isiyofanya kazi
Jumla
Inayofanya kazi
Isiyofanya kazi
Jumla
Ongezeko la Asilimia
1.
Majosho
42
12
54
82
1
83
54
2.
Machinjio kubwa
3
0
3
5
1
6
100
3.
Machinjio ndogo
4
0
4
10
0
10
150
4.
Mabirika
10
4
14
51
0
51
264
5.
Minada
2
1
3
5
1
6
100

         

Jedwali Na 3: Udhibiti wa Magonjwa mbalimbali ya Mifugo kwa kutumia chanjo na uogeshaji                          

MAGONJWA
2005 Asilimia

2014 Asilimia

Asilimia iliyopungua
Magonjwa yaenezwayo na kupe
    80
20
60
Mdondo  wa Kuku
    40
15
25
Chambavu na Kimeta
    15
5
10
Kichaa cha Mbwa
      5
0.5
4.5
Homa ya Mapafu ya Ng’ombe
      5
0
5
Minyoo (Ng’ombe, Mbuzi na Nguruwe)
     45
15
30

 

              Jedwali Na. 4: Uzalishaji wa mazao ya Mifugo:

MAZAO
2005
THAMANI(Tshs)
2014
THAMANI(Tshs)
Maziwa  (Lita)

1,524,312

762,156,000

10,853,304

6,174,000,000

Mayai (Idadi)

987,435

197,487,000

16,827,698

4,267,000,000

Nyama (Kg)

1,897,314

853,913,000

2,489,535

14,937,210,000

Jibini (Kilo)

8,456

61,670,000

15,462

92,700,000

Ng’ombe wanaouzwa

5,675

1,418,750,000

8,944

2,667,600,000

Ngozi  za Ng’ombe (Vipande)

4,306

19,337,000

8,904

40,000,000

Mwaka 2005 kulikuwa hakuna machinjio ya nguruwe. Machinjio moja ya Nguruwe   yenye thamani ya shilingi 45,894,456 ilijengwa katika Halmashauri ya Mji Njombe. Aidha, machinjio 2 za ng’ombe zimejengwa katika Halmashauri za Mji Njombe na Makambako,  zote zikiwa na thamani ya shilingi  407, 395,456.

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 MKOA WA NJOMBE December 14, 2022
  • View All

Latest News

  • ZIARA YA MKUU WA MKOA NJOMBE YA ZAA MATUNDA

    January 19, 2023
  • WAZIRI WA KILIMO AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOA WA NJOMBE

    January 18, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA

    November 27, 2022
  • ZIARA

    November 26, 2022
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Njombe Nearby Ruhuji River

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 0262782912/13

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.