• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

Kilimo

 SEKTA YA KILIMO

Mafanikio makubwa yameonekana katika Sekta ya Kilimo na hivyo kuboresha uchumi na maisha ya Wakulima. Maeneo yaliyoonesha ufanisi ni pamoja na:-

 Wananchi wameendelea kupokea pembejeo za kilimo kwa njia ya ruzuku ambapo utaratibu huu umefanikisha upatikanaji wa pembejeo kwa urahisi na kuongeza tija. Mpango huu ulianzishwa mwaka 2006/2007. Katika kufanikisha mpango huu Serikali ilitoa ruzuku ya pembejeo za kilimo zenye thamani ya jumla ya shilingi 18,400,650,000/= kwa kipindi cha miaka miwili (2012/13 na 2013/14). Vocha hizi ziliwezesha eneo la hekta 95,129 kulimwa na kaya zipatazo 144,506 zilinufaika.

Uzalishaji wa mazao ya Chakula na Biashara umepanda na kufikia tani 1,713,189 kwa mwaka 2014 ikilinganishwa na tani 463,694 mwaka 2005. Hii ni sawa na ongezeko la asilimia 270. Ongezeko hili limetokana na tija ya uzalishaji ambapo kwa Mahindi uzalishaji uliongezeka kutoka wastani wa tani 2 kwa hekta hadi kufikia wastani wa tani 3 kwa hekta, Mpunga kutoka wastani wa tani 1.5 kwa hekta hadi kufikia wastani wa tani 2.5 kwa hekta, na viazi mviringo kutoka tani 11 kwa hekta hadi wastani wa tani 15.

 Kwa miaka yote tisa Mkoa umeendelea kuwa na ziada ya mazao ya chakula na kuwa na usalama wa Chakula Mkoani. Takwimu zinaonesha kuwa mwaka 2013/14 Mkoa una ziada ya tani 553,155 za nafaka na tani 248,519 za viazi Mviringo.

 Eneo linalolimwa limeendelea kuongezeka mwaka hadi mwaka. Eneo la mazao ya Chakula limeongezeka kutoka  Hekta 232,212 mwaka 2005 hadi Hekta 367,769  mwaka 2014 ikiwa ni ongezeko la asilimia.58. Kwa upande wa mazao ya Biashara eneo limeongezeka kutoka Hekta 17,645 mwaka 2005 hadi Hekta 81,969 sawa na asilimia 365.

Utambuzi wa eneo linalofaa kwa kilimo cha umwagiliaji limeongezeka kutoka

           hekta 9,581 mwaka 2005 hadi kufikia hekta 18,101 mwaka 2014, sawa na

           ongezeko la asilimia 89.

Eneo linalomwagiliwa limeongezeka kutoka hekta 2,281 mwaka 2005 hadi kufikia hekta 5,541 mwaka 2014 sawa na ongezeko la asilimia 143. Eneo la umwagiliaji lililoboreshwa limeongezeka kutoka hekta 856 mwaka 2005 hadi kufikia hekta 1,242 sawa na ongezeko la asilimia 45.

 Huduma za ugani zimeboreshwa kwa kuongeza idadi ya Maafisa Ugani ambapo mwaka 2005 walikuwa Maafisa Ugani 172. Hadi kufikia mwaka 2014 Mkoa una juml

a ya Maafisa Ugani 363 sawa na ongezeko la asilimia 111. Aidha katika vijiji ambavyo havina Maafisa Ugani, Wagani kazi 240 wamepewa mafunzo na kufanya  huduma za ugani vijijini ambapo Wagani kazi hao  hawakuwepo mwaka 2005.

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • PROF. MUKANDALA AONGOZA VIONGOZI KUSHUHUDIA UTIAJI SAINI WA MKATABA WA UJENZI WA KAMPASI YA UDOM MKOANI NJOMBE.

    May 17, 2025
  • MPANGO WA NJOMBE KUPUNGUZA UDUMAVU WAZINDULIWA RASMI.

    May 17, 2025
  • KAMATI YA USALAMA YA MKOA WA NJOMBE YAMPA POLE KAMISHNA MWANDAMIZI WA UHAMIAJI FELISTA SANGA KUFUATIA MSIBA WA MUMEWE.

    May 17, 2025
  • MKUU WA MKOA WA NJOMBE MHE. ANTHONY MTAKA AKUTANA NA MKURUGENZI WA KAMPUNI YA KANJI LALJI, AMKARIBISHA KUWEKEZA MKOANI NJOMBE KATIKA KILIMO CHA KAHAWA.

    May 17, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.