Kuangalia matokeo bonyeza hapa Matokeo ya Usahili.pdf
ZINGATIO (NOTE):
1.Wote waliopendekezwa wanatakiwa kuripoti Ofisi ya Mkuu wa Mkoa tarehe 20/07/2019 kuanzia saa 1:30 asubuhi kwa hatua zinazofuata.
2.Unatakiwa kuja na Vyeti vyako Halisi (Original).
3.Unatakiwa uvae mavazi nadhifu na uwe katika hali ya usafi.
Mtaa wa Lunyanywi
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 026 278 291 213
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.