OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE INATANGAZA UZINDUZI WA KAMPENI YA FURAHA YANGU, KUHAMASISHA HUDUMA ZA UPIMAJI WA VIRUSI VYA UKIMWI NA KUANZA TIBA ZA KUFUBAZAVIRUSI VYA UKIMWI MAPEMA
UKUMBI: CHUO KIKUU HURIA
TAREHE 11 JULAI 2018
Ndugu Wanahabari,
Napenda kutanguliza shukrani za dhati kwenu, kwa vyombo mbalimbali vya habari mliofika katika ukumbi huu leo. Awali ya yote niwakumbushe kuwa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto kupitia Mpango wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI kwa kushirikiana na TACAIDS na USAID-Tulonge Afya, ilizindua Kampeni ya “FurahaYangu” Kitaifa tarehe 19/6/2018 Jijini Dodoma. Waziri Mkuu wa Nchi Mhe. Majaliwa Kasimu Majaliwa, ndiye aliyekuwa Mgeni rasmi wa uzinduzi huo. Mhe. Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, alipozindua kampeni hii alituagiza Wakuu wa Mikoa na Wilaya zote Nchini, kufanya uzinduzi wa kampeni hii katika Mikoa na Wilaya zetu.
Aidha, Kampeni hii ni mkakati mpya wa Serikali wa kuhamasisha upimaji wa Virusi vya UKIMWI (VVU) na kuanza kutumia dawa za kufubaza vurusi vya UKIMWI (ARV) mapema, kwa wale watakaokutwa na maambukizi ya VVU. Kupitia kampeni hii ya “FurahaYangu”, ujumbe wa Serikali ni: “Kutambua hali yako ya maambukizi ya VVU huleta amani, na kuanzishiwa ARV kwa wale wenye VVU kunasaidia kuimarisha Afya na kupunguza hatari ya kuambukiza VVU kwa wenza wao”.
Katika dira ya kuwa na Taifa bila UKIMWI, Tanzania imeridhia malengo ya UNAIDS ya 90-90-90, ambapo asilimia 90 ya watu wote wanaoishi na VVU Kutambua hali zao za VVU, asilimia 90 ya watu wote wenye VVU kuanza ARV na asilimia 90 ya walioanza ARV kupunguza kiwango cha VVU mwilini. Uzinduzi wa Kampeni ya Furaha Yangu ni mchango muhimu katika kutimiza malengo haya na itaanza kwa kuwalenga haswa Wanaume na vijana na makundimengine wakiwemo wasichana walio katika umri wa balehe, wanawake na akinamama wajawazito na wanaonyonyesha.
Ndugu Wanahabari,
Katika utafiti wa Matokeo ya huduma na viashiria vya UKIMWI wa mwaka 2016/2017 kiwango cha maambukizi katika Mkoa wetu ni asilimia 11.6 kwa watu wenye umri wa miaka 15 hadi 49 kiwango ambacho ni juu ya kiwango cha Taifa (4.7%) na juu kuliko Mikoa yote Nchini. Aidha, katika kwa Mkoa wetu imeonekana kiwango cha upimaji wa VVU kwa wanaume kiko chini ukilinganisha na wanawake kwa mfano kwa kipindi sha April-Juni 2018 jumla ya watu waliojitokeza kupima VVU ni 36,872 na kati ya hao wanaume walikuwa 16,595 ambao ni sawa na 45% wakati wanawake walikuwa 20,227 sawa na asilimia 55% Kwa furaha kubwa napenda kuwajulisha wananchi wa Mkoa wa Njombe kuwa, nitaizindua rasmi Kampeni hii ya “Furaha yangu” mwenyewe siku ya Jumanne tarehe 17 Julai, 2018 katika viwanja vya Shule ya Msingi St. BAKITA, katika Halmashauri ya Mji wa Njombe. Uzinduzi huu utatanguliwa na maandamano ya wananchi, yatakayofanyika kuanzia saa 2:00 asubuhi eneo la Benki ya NBC kupitia Songea RD hadi Viwanjani hapo. Pia, ViwanjanihapokutakuwanahudumazaUshaurinasahanaupimajiwaVirusivya UKIMWI, uchangiajiwaDamu, hudumamkobazatibanamatunzo, elimuyaToharakingakwawanaume, uzaziwampango, kifuakikuu, elimuyaLishe, hudumazaBimayaAfya, msaadawahudumazaKibenkin.k
NiwaombewananchiwenzanguwaMkoawaNjombeHususaniwanaumekuitikiamwitowaKampenihii, nakufikakwawingikwenyevituovyakutoleahudumazaAfyavilivyokaribunawe, ilikupimanakutambuaafyazetu, na wale watakaobainikakuwawanamaambuziwataanzishiwadawaza ART maramoja, ilituwenaNjombeyenyeafyanayenyeustawi. Wananchiwenzangu, kujitokezakwenukwawingikutafanikishamalengoyaWizara, pamojanakumuungamkonoWaziriMkuunaMheshimwaRais, Dkt. John PombeJoseph MagufuliyakuifanyaNchiyetukuwanawananchiwenyeAfyaNjema.
Ni matarajioyangubaadayauzinduziwaKampenihii, kilaHalmashauriitakuwanautaratibuwakutoataarifakwaMkuuwaWilayakuhusuutekelezajiwaKampeniya “FurahaYangu” kilamwezi, ambapoOfisiyaMkuuwaMkoaitakuwainafanyatathminiyamaendeleoyazoezizimakilaJumatatuya kwanza yamwezi, ilikubainichangamotonakuzitafutiaufumbuzi. Hatahivyo, katikauendeshajiwakilasikuwahudumahizi,kuwenamawasilianoyamarakwamarakatikangazizote, kuhusuchangamotozinazojitokezazauendeshajiwaKampenihiinakuzitafutiaufumbuziwaharaka, ilikuhakikishakampenihiiinafanikiwa.