Mwenge wa uhuru 2018 umepokelewa mkoani Njombe katika viwanja vya Shule ya Msingi Nyamande iliyopo katika Kijiji cha Nyamande kata ya Kitandililo katika Halmashauri ya Mji Makambako ukitoakea Mkoa wa Iringa na utakimbizwa katika Halshauri sita za Mkoa wa Njombe na kwasiku sita .
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka amesema kuwa Mwenge wa Uhuru utakimbizwa kilometa 917.8 Aidha,jumla ya Miradi 65 itapitiwa na Mwenge wa Uhuru 2018 yenye thamani ya shilingi 5,030,410,386.00hadi sasa na itakapokamilika itakuwa na tahamani ya shilingi 9,633,873,728.67.
Mtaa wa Lunyanywi
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 026 278 291 213
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.