Kutokana na ushindi wa 3-0 wa Timu ya Ndanda Fc wana kuchere dhidi ya Mwadui Fc,Timu ya Njombe Mji Fc Imeshuka rasmi daraja kutoka ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Hivyo msimu ujao, timu hiyo italazimika kupambana kwenye ligi daraja la kwanza ili kurudi kwenye ligi kuu Tanzania bara kama watarekebisha makosa yaliyojitokeza msimu huu na kuisababisha timu Hiyo kushuka daraja.
Mtaa wa Lunyanywi
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 026 278 291 213
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.